
Uhasidi Wa Dama
by Story Moja
Sidi anapokea zawadi ya kupendeza zaidi kutoka kwa baba yake; hando lenye rangi za upinde wa mvua. Hakuna yeyote kwenye kijiji chao aliyewahi kuona kitu kama hicho. Alipoamua kuivaa sketi yake mpya kwenye densi ya kijijini, alivunja ahadi aliyoiweka kwa rafiki wake wa chanda na pete, Dama. Kwa kulemewa na wivu, Dama anapanga jama ambayo inahatarisha uhusiano wao. Je, wasichana wawili hao watafanikiwa kuuchagua urafiki wao kuliko vitu vingine wanavyomiliki?
Out of stock
KES 420
Product details
UPC | 804402 |
---|---|
SKU | 80442 |
Reviews
This product does not have any reviews yet.
Add your review