Thithinda Na Mchezo Wa Upepo

by Story Moja

Thithinda ni mti mdogo aliye na hamu ya kukimbia kama sungura na kuruka ka kipepeo, lakini hawezi. Mamake Thithinda anamfundisha mchezo wa upepo. "Hadithi hii inamafunzo kuhusu kujitambua na kujikubali jinsi ulivyo."

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 245