
Siri Hospitalini
by Story Moja
Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huko kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia mpya ya Malit ama anaugua? Nashipae anawaarifu wazazi kisha wanatambua kuwa Malit anaugua. Anapelekwa hospitalini mbiombio. Bi Pulei anapomfikisha mwanawe Malit hospitalini, anagundua kuwa ufisadi umekita mizizi huko. Mama yuko katika njia panda. Atoe hongo ili mwanawe ahudumiwe ama asitoe ili adumishe uzalendo?
KES 420
Product details
UPC | 792363 |
---|---|
SKU | 792363 |
Reviews
This product does not have any reviews yet.
Add your review