Rafiki Mwongo

by Story Moja

Neema na Furaha wamechelewa kufika shuleni. Furaha anataka waingie tu shuleni waadhibiwe na kuendelea na masomo. Neema ana wazo tofauti. Anataka akwepe adhabu kisha waingie darasani kisiri. Je, mpango wa Neema utafaulu? Soma hadithi ujue yaliyowapata marafiki hao.

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 350