Pandashuka

by Story Moja

Pandashuka ni mradi wa Storymoja wa awamu ya pili. Mradi huu unadhamiria kuwachapishia watoto kazi zao za kiubunifu. Hizi ni kazi za watoto wenye umri wa kati ya miaka 10 na 13 kutoka shule mbalimbali za msingi nchini Kenya.

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 600