Nani Mfalme?

by Story Moja

Tai alichoshwa na ubabe wa Simba Nguruma porini. Wanyama wanautukuza mgurumo wake unaowalinda dhidi ya wawindaji. Tai anahisi kuwa wanyama wengine inbidi watambue maono yake thabiti. Anaamua kupanga njama ili wanyama wamsusie Nguruma na kumkomesha asingurume tena. Baada ya ukimwa mrefu wa kutosikika mgurumo porini, wawindaji wanarudi kuwavamia kwa kishindo. Juhudi za Tai kuwaokoa wanyama hazikufua dafu. Je, wanyama walipata mwingine wa kuwanusuru. 

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 450

Product details

UPC804195
SKU804195

Reviews

Leave a product review
or cancel