Mwito Wa Moto

by Story Moja

Tieni na ndugu zake wamekaa chumbani mwa nyanya yao wakingoja chakula chao kiive. Akiwa huko jikoni, Tieni anasikia sauti zikimwita kutoka kwenye moto. Mababu wanamwita kwenye moto! Wanamvuta karibu zaidi na zaidi! Je, ataanguka kwenye moto? 

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 225