Mkia Wa Ngiri

by Story Moja

Utawaona ngiri mara nyingi katika maeneo tambarare ya barani Afrika. Wao hutembea sanjari wakiwa katika makundi madogo madogo. Wanamikia mirefu myembamba yenye kishungi cha nyele mwishoni mwake. Wao hutembea wakiinua mikia hio ikawa kama bendera. Ngiri mdogo naye hana uwezo kwa kuuinua wake akiwa safarini na jamaa zake. Atawezaje kusafiri pamoja na wenzake bila uwezo wa kuuinua mkia wake? Je, ataachwa nyuma peke yake ama vipi? 

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 350

Product details

UPC802465
SKU802465

Reviews

Leave a product review
or cancel