
Koko Riko Toroka Ujiokoe
by Story Moja
Ni siku yenye joto. Koko Riko anashikwa na woga anapoona kitu cheusi kwenye ardhi upepo unapovuma. Anatoka mbio na kuwahimizi wanyama watoroke hili kumwepuka "mnyama" huyo hatari. Mnyama huyo ni mnyama gani? Soma hadithi upate uhondo.
KES 420
Product details
UPC | 792342 |
---|---|
SKU | 792342 |
Reviews
This product does not have any reviews yet.
Add your review