Jasusi

by Story Moja

Je, unakumbuka siku yako ya kwanza kuendesha baiskeli? Unawezaje kupata shilingi milioni moja? Unahitaji ujuzi gani kufunza asiyejua kusoma wala kuandika? Unaamini kuwa kila king'aacho si dhahabu? Ni nini madhara ya uvutaji sigara? Je, unaweza kufanya nini endapo rafiki yako mmoja ametoweka ghafla? Je, wewe unachangia nini shuleni mwenu?

 

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya!
KES 500

Product details

UPC804717
SKU804717

Reviews

Leave a product review
or cancel