Gamba Apiga Ngoma
by Story Moja
Gamba anapenda kuwatazama Luka na Lusi wakipiga ngoma. Gamba anapenda kuimba na kucheza. Hata hivyo, hamu yake ni kupiga ngoma. Isome hadithi hii ugundue jinsi Gamba anavyojitahidi, wakati huo huo akuburudika, kutimiza ndoto yake.
KES 400
Product details
| UPC | 792321 |
|---|---|
| SKU | 792321 |