Fumbo la Baba

by Humming Bird Publishers

Free delivery on orders above KES 4,000
We deliver anywhere in Kenya within 72 hours!
KES 500

Product details

UPC807215
SKU807215

Reviews

Average rating: 5

from 1 review

5 1 five star review
4 0 four star reviews
3 0 three star reviews
2 0 two star reviews
1 0 one star reviews
Add your review

Kenna Wasike reviewed on 26 Apr 2026

Fumbo la Baba

Hii ni riwaya inayozungumzia mhusika anayegundua, kupitia kwa mazungumzo ya Sihaba na ndugu zake - Hidaya na Mashaka, kuwa Dkt Kirema, aliyedhani kuwa ni babake, kumbe si babake mzazi. Jaribio lake la kupata ukweli kutoka kwa mama, anapigwa. Hili linampa mawazo na mashaka mengi. Sasa anaingia katika safari ya kumsaka babake. Kusaka fasili yake. Anafunga safari kutoka Machewa kwenda Kemeloi kumsaka Bw. Katila ambaye ni babake mzazi.

Add your review